Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




Esteri 9:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

23 Basi, Wayuda wakakubaliana kufanya kama walivyoanza na kama vile Mordekayi alivyowaandikia.

Gade chapit la Kopi




Esteri 9:23
2 Referans Kwoze  

Wayuda walishinda waadui zao katika siku hizo, na katika mwezi huo huzuni yao iligeuzwa kuwa furaha, na kilio chao kuwa sikukuu. Waliagizwa wakuwe wanazikumbuka siku hizo kwa kufanya karamu na sherehe, kupelekeana zawadi za chakula na kuwapa wamasikini vitu.


Hamani mwana wa Hamedata wa ukoo wa Agagi na adui wa Wayuda alikuwa amefanya mupango juu ya Wayuda kwa kuwaangamiza, vilevile alikuwa amepiga purimu, ni kusema kura, kwa kuamua siku ya kuwaponda na kuwaangamiza Wayuda.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite