Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




2 Samweli 8:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

13 Daudi alijiongezea sifa yake. Alipokuwa anarudi kisha kumushinda Hadadezeri, aliwaua Waedomu elfu kumi na nane, katika Bonde la Chumvi.

Gade chapit la Kopi




2 Samweli 8:13
7 Referans Kwoze  

Amazia aliwaua Waedomu elfu kumi katika Bonde la Chumvi. Aliutwaa kwa nguvu muji wa Sela na kuuita Yokiteli, na hivi ndivyo unavyoitwa mpaka sasa.


Tangu wakati ule nimekuwa pamoja nawe kokote ulikokwenda na nimewaangamiza waadui zako wote mbele yako. Nitakufanya kuwa mwenye utukufu kama wakubwa wengine katika dunia.


Abisai mwana wa Zeruya, akaua Waedomu elfu kumi na nane katika Bonde la Chumvi.


Kwa mukubwa wa waimbaji. Kwa mutindo wa wimbo “Ushuhuda wa mayungiyungi.” Mashairi ya Daudi ya kufundisha yanayoelekea wakati alipopigana na Wasuria katika Mesopotamia na Zoba naye Yoabu aliporudi nyuma na kuwaua Waedomu elfu kumi na mbili katika bonde la Chumvi.


Amazia akajipa moyo akaongoza jeshi lake mpaka kwenye Bonde la Chumvi. Hapo akapigana na kuwaua watu elfu kumi wa Seiri.


Wakasema: “Tujijengee muji na munara ambao chongo yake itafika mbinguni kusudi tujipatie sifa, kusudi tusisambazwe katika dunia yote.”


Wakati Daudi alipowaangamiza Waedomu, Yoabu, jemadari wa waaskari wa Daudi, alikwenda kule kuwazika waliouawa. Yoabu aliwaua wanaume wote wa Edomu.


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite