Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




2 Samweli 3:32 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

32 Abeneri alizikwa kule Hebroni na mufalme aliomboleza kwa sauti akiwa pembeni ya kaburi. Watu wengine wote walifanya vile vile.

Gade chapit la Kopi




2 Samweli 3:32
8 Referans Kwoze  

Usishangilie kuanguka kwa adui yako; usifurahie ndani ya moyo wako kujikwaa kwake,


Huo ungekuwa uovu wa kuazibiwa na waamuzi maana ningekuwa mwongo mbele ya Mungu anayekuwa juu.


Wakaomboleza, wakalia na kufunga kula mpaka magaribi kwa ajili ya Saulo, Yonatani mwana wake, na inchi ya Waisraeli, watu wa Yawe, kwa maana wengi kati yao waliuawa katika vita.


Halafu Daudi na watu wake wakaanza kulalamika, wakalia mpaka walipoishiwa nguvu.


Daudi akawaamuru vijana wake, nao wakawaua. Wakawakata mikono na miguu. Halafu wakawatundika juu ya muti pembeni ya kisima kule Hebroni. Lakini walikichukua kichwa cha Isiboseti na kukizika katika kaburi la Abeneri kule Hebroni.


Nimefurahia kuangamia kwa adui yangu, au kufurahi alipopatwa na hasara?


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite