Biblia Todo Logo
Bib sou entènèt

- Piblisite -




2 Samweli 2:21 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

21 Abeneri akamwambia: “Geukia upande wa kuume au kushoto, umukamate kijana mumoja na kutwaa vitu vyake.” Lakini Asaeli hakuacha kumufuatilia.

Gade chapit la Kopi




2 Samweli 2:21
3 Referans Kwoze  

Hapo roho wa Yawe akamushika Samusoni kwa nguvu, naye akaenda muji Askeloni, akawaua watu makumi tatu, kisha akatwaa nguo zao za sikukuu, akawapa wale waliotegua kitendawili chake. Halafu akaondoka, akaenda kwa nyumba kwa wazazi wake akiwa na hasira kali.


Abeneri alipoangalia nyuma na kumwona Asaeli, alimwambia: “Ni wewe Asaeli?” Yeye akamujibu: “Kweli, ni mimi.”


Abeneri akamwambia Asaeli mara ya pili: “Acha kunifuatilia. Kwa nini nikuue? Nitaweza kuonana na kaka yako Yoabu?”


Swiv nou:

Piblisite


Piblisite