1 Wakorinto 14:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20026 Basi wandugu zangu, nitawafalia nini kama nikikuja kwenu na kusema nanyi katika luga za ajabu? Sitawafalia kitu pasipo kuwaelezea maneno ya ufunuo, au ya elimu, pasipo kuwatabiria au kuwafundisha. Gade chapit la |