1 Samweli 26:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20026 Daudi akamwambia Ahimeleki ambaye alikuwa Muhiti, na Abisai ndugu ya Yoabu (mama yao aliitwa Zeruya): “Nani atakwenda pamoja nami kwenye kambi ya Saulo?” Abisai akamwambia: “Mimi nitakwenda pamoja nawe.” Gade chapit la |