35 Toa mwana wa Sufu, Sufu mwana wa Elikana, Elikana mwana wa Mahathi, Mahathi mwana wa Amasai,
Samueli mwana wa Elikana, Elikana mwana wa Jerohamu, Jerohamu mwana wa Elieli, Elieli mwana wa Toa,
Amasai mwana wa Elikana, Elikana mwana wa Joeli, Joeli mwana wa Azaria, Azaria mwana wa Zefania,
Ana a Elikana ni Amasai na Ahimothi.
Atu a chivyazi cha Ahimothi wakala mwanawe Elikana. Elikana achimvyala Zofai, Zofai achimvyala Nahathi,