Biblia Todo Logo
Bìoball air-loidhne

- Sanasan -




Yoshua 2:22 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

22 Wapelelezi hao waliondoka wakaenda kwenye milima. Walikaa kule kwa muda wa siku tatu mpaka wale waliokuwa wanawafuatilia waliporudi katika muji Yeriko, nyuma ya kuwatafuta na kukosa kuwaona.

Faic an caibideil Dèan lethbhreac




Yoshua 2:22
5 Iomraidhean Croise  

Watumishi wa Abusaloma walipofika kwa yule mwanamuke, wakamwambia: “Ahimasi na Yonatani wako wapi?” Yule mwanamuke akawaambia: “Wamekwenda ngambo ya kijito.” Walipowatafuta na kuwakosa, wakarudi Yerusalema.


Naye akawaambia: “Ikuwe jinsi mulivyosema.” Kisha akawaruhusu waende zao, nao wakaondoka. Naye akaifunga ile kamba nyekundu kwenye dirisha.


Basi, hao wapelelezi wawili wakashuka kutoka kwenye milima, wakavuka muto na kumwendea Yoshua mwana wa Nuni. Wakamwambia yote yaliyowapata.


Lean sinn:

Sanasan


Sanasan