Biblia Todo Logo
Bìoball air-loidhne

- Sanasan -




Wafilipi 2:24 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

24 Nami ninamutumainia Bwana kwamba mimi mwenyewe nitakuja kuwaona bado kidogo.

Faic an caibideil Dèan lethbhreac




Wafilipi 2:24
6 Iomraidhean Croise  

Kama Bwana Yesu akitaka, ninangojea kisha muda kidogo kuwatumia Timoteo, kusudi nipate kutiwa moyo na habari nitakazopata kutoka kwenu.


Lakini pamoja na maneno haya, unitayarishie vilevile pahali pa kukaa, maana ninatumaini kwamba Mungu atajibu maombi yenu, na kunijalia nipate kurudishwa tena kwenu.


Nina maneno mengi ya kuwaambia, lakini sitaki kuyaandika ndani ya barua. Ninatumaini nitawatembelea na kusemezana pamoja nanyi uso kwa uso, kusudi tupate kujazwa na furaha kabisa.


Ninatumaini kwamba nitakuona sasa hivi na wakati ule tutasemezana pamoja uso kwa uso.


Lean sinn:

Sanasan


Sanasan