Biblia Todo Logo
Bìoball air-loidhne

- Sanasan -




Waebrania 11:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

2 Ni kwa sababu ya imani yao babu zetu wameshuhudiwa vizuri na Mungu.

Faic an caibideil Dèan lethbhreac




Waebrania 11:2
3 Iomraidhean Croise  

Zamani Mungu alisema na babu zetu kwa njia ya manabii, mara nyingi na kwa namna nyingi.


Watu hawa wote walishuhudiwa vizuri na Mungu kwamba wamemupendeza kwa njia ya imani yao. Lakini hawakupokea mambo yale Mungu aliyowaahidia,


Kwa njia ya imani, Abeli alimutolea Mungu sadaka nzuri zaidi kuliko ile ya Kaina. Kwa ajili ya imani yake alihesabiwa na Mungu kuwa mwenye haki, kwa maana Mungu mwenyewe alikubali sadaka zake. Na kwa imani ile, ingawa Abeli amekwisha kufa, angali anasema.


Lean sinn:

Sanasan


Sanasan