Nehemia 7:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Mungu akanipa moyo kuwakusanya viongozi na watu kwa kujua ukoo zao. Nikapata kitabu cha ukoo za watu waliorudi toka katika uhamisho mara ya kwanza, na hawa ndio waliokuwa wameandikwa ndani yake. Faic an caibideil |