12 ukoo wa Elamu: elfu moja mia mbili makumi tano na wane;
Wazao wa Elamu: Matania, Zakaria, Yehieli Abudi, Yeremoti na Elia.
wa ukoo wa Elamu: elfu moja mia mbili makumi tano na wane;
ukoo wa Pahati-Moabu, ni kusema wazao wa Yesua na Yoabu: elfu mbili mia nane na kumi na wanane;
ukoo wa Zatu: mia nane makumi ine na watano;