Biblia Todo Logo
Bìoball air-loidhne

- Sanasan -




Nehemia 7:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

11 ukoo wa Pahati-Moabu, ni kusema wazao wa Yesua na Yoabu: elfu mbili mia nane na kumi na wanane;

Faic an caibideil Dèan lethbhreac




Nehemia 7:11
6 Iomraidhean Croise  

wa ukoo wa Pahati-Moabu, maana yake wazao wa Yesua na Yoabu: elfu mbili mia nane kumi na wawili;


Sehemu inayofuata pamoja na Munara wa Furu vilijengwa upya na Malkiya, mwana wa Harimu akishirikiana na Hasubu mwana wa Pahati-Moabu.


ukoo wa Ara: mia sita makumi tano na wawili;


ukoo wa Elamu: elfu moja mia mbili makumi tano na wane;


Ezra, mwandishi, alikuwa akisimama kwenye mimbari ya mbao iliyotengenezwa kwa kusudi lile; na kwenye mukono wake wa kuume watu hawa walikuwa wakisimama: Matitia, Sema, Anaya, Uria, Hilkia na Masea; na kwenye mukono wake wa kushoto kulikuwa kunasimama watu hawa: Pedaya, Misaeli, Malkiya, Hasumu, Hasubadana, Zakaria na Mesulamu.


Lean sinn:

Sanasan


Sanasan