10 ukoo wa Ara: mia sita makumi tano na wawili;
wa ukoo wa Ara: mia saba makumi saba na watano;
Wengi kati ya Wayuda walishirikiana naye kutokana na kiapo chao maana alikuwa mukwe wa Sekania mwana wa Ara. Zaidi ya yote, Yehohanani mwana wake, alikuwa amemwoa binti Mesulamu mwana wa Berekia.
ukoo wa Pahati-Moabu, ni kusema wazao wa Yesua na Yoabu: elfu mbili mia nane na kumi na wanane;
ukoo wa Sefatia: mia tatu makumi saba na wawili;