Biblia Todo Logo
Bìoball air-loidhne

- Sanasan -




Nehemia 2:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

11 Hivyo nikafika Yerusalema, nikakaa kule kwa siku tatu.

Faic an caibideil Dèan lethbhreac




Nehemia 2:11
2 Iomraidhean Croise  

Tulipofika Yerusalema, tukapumzika kwa muda wa siku tatu.


Kisha nikaondoka usiku, mimi pamoja na watu wachache; sikumwambia mutu yeyote yale ambayo Mungu alikuwa ameyaweka ndani ya moyo wangu kwa ajili ya Yerusalema. Lakini siku moja usiku, nikaondoka na kutwaa watu wachache tu. Sikupeleka nyama yeyote isipokuwa punda niliyepanda juu yake mimi mwenyewe.


Lean sinn:

Sanasan


Sanasan