Biblia Todo Logo
Bìoball air-loidhne

- Sanasan -




Nehemia 12:41 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

41 hata na makuhani waliokuwa na baragumu: Eliakimu, Maseya, Miniamini, Mikaya, Eliyoenayi, Zakaria na Hanania.

Faic an caibideil Dèan lethbhreac




Nehemia 12:41
4 Iomraidhean Croise  

Hivyo, makundi yote mawili yaliyokuwa yanaimba nyimbo za shukrani yakasimama katika nyumba ya Mungu, pamoja nami na nusu ya viongozi;


Hao walifuatwa na Maseya, Semaya, Eleazari, Uzi, Yehohanani, Malkiya, Elamu na Ezeri. Waimbaji waliimba wakiongozwa na Yesirahia.


Walawi hawa ndio walisaidia kuwaelewesha watu Sheria: Yesua, Bani, Serebia, Yamini, Akubu, Sabetayi, Hodia, Maasea, Kelita, Azaria, Yozabadi, Hanani na Pelaya; na kila mumoja akiwa akisimama pale alipokuwa.


Lean sinn:

Sanasan


Sanasan