9 Yoeli mwana wa Sikiri, alikuwa ndiye mukubwa wao; naye Yuda mwana wa Hasenua alikuwa mukubwa wa pili wa muji.
Katika kabila la Benjamina, kulikuwa: Salu mwana wa Mesulamu mwana wa Hodavia mwana wa Hasenua,
Makuhani waliokaa katika Yerusalema walikuwa: Yedaya mwana wa Yoyaribu, Yakini,
Kiongozi wa Walawi waliokaa Yerusalema alikuwa, Uzi, mwana wa Bani mwana wa Hasabia mwana wa Matania mwana wa Mika wa ukoo wa Asafu, waliokuwa waimbaji, viongozi waangalizi wa shuguli za nyumba ya Mungu.
Nyuma ya huyo kulikuwa Gabayi na Salayi. Jumla yao mia tisa makumi mbili na wanane.
Na wana wa Izihari walikuwa: Kora, Nefegi na Zikiri.