Biblia Todo Logo
Bìoball air-loidhne

- Sanasan -




Nehemia 11:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

8 Nyuma ya huyo kulikuwa Gabayi na Salayi. Jumla yao mia tisa makumi mbili na wanane.

Faic an caibideil Dèan lethbhreac




Nehemia 11:8
3 Iomraidhean Croise  

Watu hao walikuwa wakubwa wa ukoo zao. Watu wa kabila la Benjamina watu waliokaa Yerusalema walikuwa mia kenda na makumi tano na sita.


Watu wa ukoo wa Benjamina waliokaa katika Yerusalema ni: Salu, mwana wa Mesulamu mwana wa Yoedi mwana wa Pedaya mwana wa Kolaya mwana wa Maseya mwana wa Itieli na mwana wa Yesaya.


Yoeli mwana wa Sikiri, alikuwa ndiye mukubwa wao; naye Yuda mwana wa Hasenua alikuwa mukubwa wa pili wa muji.


Lean sinn:

Sanasan


Sanasan