Nehemia 11:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Watu wa ukoo wa Benjamina waliokaa katika Yerusalema ni: Salu, mwana wa Mesulamu mwana wa Yoedi mwana wa Pedaya mwana wa Kolaya mwana wa Maseya mwana wa Itieli na mwana wa Yesaya. Faic an caibideil |