Biblia Todo Logo
Bìoball air-loidhne

- Sanasan -




Nehemia 11:36 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

36 Walawi wamoja wa Yuda wakachanganyika na watu wa Benjamina.

Faic an caibideil Dèan lethbhreac




Nehemia 11:36
5 Iomraidhean Croise  

Ninalaani hasira yao kali sana na kasirani yao isiyokuwa na huruma. Nitawatawanya katika inchi ya Yakobo, nitawasambaza katika inchi ya Israeli.


Lodi na Ono lililokuwa Bonde la Wafundi.


Haya ndiyo majina ya makuhani na Walawi waliorudi toka katika uhamisho pamoja na Zerubabeli mwana wa Saltieli, na Kuhani Mukubwa Yesua. Makuhani walikuwa: Seraya, Yeremia, Ezra, Amaria, Maluku, Hatusi, Sekania, Rehumu, Meremoti, Ido, Ginetoni, Abiya, Miyamini, Madia, Bilga, Semaya, Yoyaribu, Yedaya, Salu, Amoki, Hilkia na Yedaya. Hao walikuwa ni wakubwa wa makuhani na wandugu zao wakati wa Yesua.


Lean sinn:

Sanasan


Sanasan