Biblia Todo Logo
Bìoball air-loidhne

- Sanasan -




Nehemia 11:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

10 Makuhani waliokaa katika Yerusalema walikuwa: Yedaya mwana wa Yoyaribu, Yakini,

Faic an caibideil Dèan lethbhreac




Nehemia 11:10
9 Iomraidhean Croise  

Simeoni na wana wake: Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Sauli, aliyezaliwa kwa mwanamuke Mukanana.


Hawa ndio makuhani walioishi Yerusalema: Yedaya, Yoyaribu na Yakini,


Hii ndiyo jumla ya makuhani waliorudi kutoka katika uhamisho: wa ukoo wa Yedaya waliokuwa wazao wa Yesua: mia tisa makumi saba na watatu;


Nikaita viongozi tisa wakuje kwangu: Eliezeri, Arieli, Semaya, Elnatani, Yaribu, Elnatani, Natani, Zekaria na Mesulamu, pamoja na waalimu wawili, Yoyaribu na Elnatani.


Seraya mwana wa Hilkia mwana wa Mesulamu mwana wa Zadoki mwana wa Merayoti mwana wa Ahitubu aliyekuwa musimamizi wa nyumba ya Mungu,


Yoeli mwana wa Sikiri, alikuwa ndiye mukubwa wao; naye Yuda mwana wa Hasenua alikuwa mukubwa wa pili wa muji.


Hii ndiyo hesabu ya makuhani waliorudi kutoka katika uhamisho: makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazao wa Yesua: mia tisa makumi saba na watatu;


Lean sinn:

Sanasan


Sanasan