Biblia Todo Logo
Bìoball air-loidhne

- Sanasan -




Nehemia 10:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

2-9 Haya ndiyo majina yao: Liwali wa jimbo: Nehemia, mwana wa Hakalia. Makuhani: Zedekia, Seraya, Azaria, Yeremia, Pasuri, Amaria, Malkiya, Hatusi, Sebania, Maluku, Harimu, Meremoti, Obadia, Danieli, Ginetoni, Baruku, Mesulamu, Abiya, Miyamini, Masia, Bilgayi, Semaya.

Faic an caibideil Dèan lethbhreac




Nehemia 10:2
7 Iomraidhean Croise  

Mutawala akawaambia kwamba hawaruhusiwi kushiriki chakula kitakatifu sana, mpaka kukuwe kuhani atakayeweza kutoa shauri kwa njia Urimu na Tumimu.


Kutokana na haya yote yaliyotokea, sisi tunaweka agano imara kwa maandiko na wakubwa wetu, Walawi na makuhani wanatia sahihi zao na muhuri wao.


Seraya mwana wa Hilkia mwana wa Mesulamu mwana wa Zadoki mwana wa Merayoti mwana wa Ahitubu aliyekuwa musimamizi wa nyumba ya Mungu,


Haya ndiyo majina ya makuhani na Walawi waliorudi toka katika uhamisho pamoja na Zerubabeli mwana wa Saltieli, na Kuhani Mukubwa Yesua. Makuhani walikuwa: Seraya, Yeremia, Ezra, Amaria, Maluku, Hatusi, Sekania, Rehumu, Meremoti, Ido, Ginetoni, Abiya, Miyamini, Madia, Bilga, Semaya, Yoyaribu, Yedaya, Salu, Amoki, Hilkia na Yedaya. Hao walikuwa ni wakubwa wa makuhani na wandugu zao wakati wa Yesua.


Benjamina na Hasubu wakajenga upya sehemu inayoelekeana na nyumba yao. Azaria mwana wa Masea, mujukuu wa Anania, akajenga upya sehemu inayoelekeana na nyumba yao.


Lean sinn:

Sanasan


Sanasan