Muhubiri 5:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Kama vile mwanadamu alivyokuja katika dunia akiwa uchi toka katika tumbo la mama yake, ndivyo atakavyorudi uchi kule alikotoka. Hataweza kupeleka hata sehemu ndogo ya mapato ya kazi yake. Faic an caibideil |