Maombolezo 1:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Unapokuwa sasa mabomoko matupu, Yerusalema unakumbuka utukufu wake. Ulipoangukia katika mikono ya waadui zake, hakuna aliyekuwa pale kwa kuusaidia. Washindi wake walichekelea kuanguka kwake. Faic an caibideil |