Biblia Todo Logo
Bìoball air-loidhne

- Sanasan -




Filemono 1:25 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

25 Ninawatakia ninyi wote neema kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo.

Faic an caibideil Dèan lethbhreac




Filemono 1:25
4 Iomraidhean Croise  

Mungu, anayeleta amani, atamupondaponda sasa hivi Shetani chini ya miguu yenu. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo ikuwe pamoja nanyi.


Gayo, aliyenikaribisha na anayekaribisha kanisa zima kwa kukusanyika kwake, anawasalimia. Erasto, mulinzi wa mali ya muji, pamoja na ndugu yetu Kwarto, wanawasalimia. [


Wandugu, ninawatakia ninyi wote neema kutoka kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Amina.


Bwana akulinde. Ninawatakia neema kutoka kwa Mungu.


Lean sinn:

Sanasan


Sanasan