Danieli 8:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Nilimwona huyo kondoo dume akishambulia kuelekea upande wa magaribi, kaskazini na kusini. Hakuna nyama yeyote aliyesubutu kusimama mbele yake, wala kuziepuka nguvu zake. Alifanya sawa anavyopenda na kujitukuza mwenyewe. Faic an caibideil |