Danieli 7:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Nyama wa pili alikuwa kama dubu ambaye upande wake mumoja ulikuwa umeinuka. Na katika kinywa chake alikuwa na mifupa mitatu ya mbavu aliyoishika kwa meno yake. Sauti ikamwambia: Simama, ukule nyama nyingi kadiri unavyoweza. Faic an caibideil |