Danieli 7:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Nyama wakubwa wane wakainuka kutoka ndani ya bahari, kila mumoja akiwa tofauti na mwenzake. Faic an caibideil |
Yule nyama uliyemwona alikuwa yuko zamani, lakini sasa hayuko tena. Naye ni tayari kupanda toka katika shimo la kuzimu na kwenda kuangamizwa kabisa. Nao wakaaji wa dunia ambao majina yao hayakupata kuandikwa katika kitabu cha uzima tangia kuumbwa kwa dunia, watashangaa wakati watakapomwona yule nyama, kwa sababu alikuwa yuko zamani lakini hayuko sasa, naye atatokea tena!