Biblia Todo Logo
Bìoball air-loidhne

- Sanasan -




Danieli 12:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

5 Kisha, mimi Danieli nikaangalia, nikaona watu wawili wakisimama kwenye ukingo wa muto; mumoja upande huu na mwingine upande wa pili.

Faic an caibideil Dèan lethbhreac




Danieli 12:5
5 Iomraidhean Croise  

Hapo, mukono ukanigusa, ukanisimamisha, na kuimarisha miguu na mikono yangu.


Kisha, kiumbe kimoja chenye umbo la mutu, kiliigusa midomo yangu, nami nilifungua midomo yangu na kumwambia huyo aliyesimama karibu nami: Ee bwana, maono haya yameniletea maumivu makali hata nimeishiwa nguvu.


Lakini sasa, Danieli, weka kwa siri mambo hayo; funga kitabu na kutia muhuri juu yake mpaka wakati wa mwisho utakapofika. Wengi watakimbilia huko na huko, na maarifa yataongezeka.


Nikamwuliza yule aliyesimama upande wa juu wa muto, aliyevaa nguo za kitani: Mambo haya ya kutisha yatadumu mpaka wakati gani?


Lean sinn:

Sanasan


Sanasan