Danieli 10:19 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200219 Akaniambia: Usiogope wewe unayependwa sana, uko salama. Ukuwe imara na hodari. Aliposema nami, nilipata nguvu, nikamwambia: Bwana, umekwisha kuniimarisha; sema kile ulichotaka kusema. Faic an caibideil |