Wanjina kala ni Adaya mwana wa Jerohamu, Jerohamu mwana wa Pashihuri, Pashihuri mwana wa Malikija. Na wa mwisho kala ni Maasai mwana wa Adieli, Adieli mwana wa Jazera, Jazera mwana wa Meshulamu, Meshulamu mwana wa Meshulemithi, Meshulemithi mwana wa Imeri.