Online Bible

- Advertisements -




Yoeli 2:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

23 Mufurahi, enyi watu wa Sayuni, mushangilie kwa sababu ya Yawe, Mungu wenu, maana amewapa mvua zinazowafalia, amewapa mvua ya kutosha: mvua za kwanza na mvua za katikati kama pale mbele.

See the chapter Copy




Yoeli 2:23

Follow us:

Advertisements


Advertisements