13 Kwa hiyo Wafarisayo wakamwambia: “Ushuhuda wako si wa kweli, kwa kuwa unajishuhudia wewe mwenyewe.”