13 Basi wakavikusanya, wakajaza vitunga kumi na viwili na vipande vilivyobaki vya ile mikate mitano ya shayiri waliyokula.