Online Bible

- Advertisements -




Yoane 21:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

3 Simoni Petro akawaambia wenzake hivi: “Ninakwenda kuvua samaki.” Nao wakamwambia: “Na sisi vilevile tutakwenda pamoja nawe.” Basi wakaondoka, wakaingia katika chombo. Usiku ule hawakupata kitu.

See the chapter Copy




Yoane 21:3

Follow us:

Advertisements


Advertisements