8 Halafu yule mwanafunzi mwingine aliyetangulia kwenye kaburi akaingia vilevile. Akapata kujionea na kuamini.