11 Lakini Yesu akamwambia Petro: “Rudisha upanga wako katika kifuko chake! Inanipasa kunywa kikombe cha mateso Baba yangu alichonitayarishia.”