1 Wakati Yesu alipokwisha kusema maneno hayo, akaondoka pamoja na wanafunzi wake na kuvuka ngambo ya kijito cha Kidroni. Nao wote wakaingia katika bustani iliyokuwa kule.