Online Bible

- Advertisements -




Yoane 16:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

17 Basi wanafunzi wake wamoja wakasemezana hivi: “Yeye anatuambia kwamba kunabakia wakati kidogo nasi hatutamwona, lakini kisha wakati kidogo tutamwona tena. Vilevile anasema kwamba ni kwa sababu anakwenda kwa Baba yake. Maana ya maneno haya yote ni nini?”

See the chapter Copy




Yoane 16:17

Follow us:

Advertisements


Advertisements