36 Simoni Petro akamwuliza: “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akamujibu: “Hauwezi kunifuata sasa pahali ninapokwenda, lakini utanifuata nyuma.”