10 mara moja Yesu akaingia ndani ya chombo pamoja na wanafunzi wake, akaenda katika jimbo la Dalmanuta.