Online Bible

- Advertisements -




Marko 6:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

2 Siku ya Sabato ilipotimia, akaanza kufundisha katika nyumba ya kuabudia. Watu wengi waliomusikiliza, wakashangaa sana na kuulizana: “Huyu amepata maneno haya yote kutoka wapi? Ni hekima ya namna gani aliyopata? Ni kwa uwezo wa namna gani anafanya miujiza kama hii?

See the chapter Copy




Marko 6:2

Follow us:

Advertisements


Advertisements