32 Kundi kubwa la watu waliikaa, wakizunguka Yesu. Halafu wakamwambia: “Mama yako na wandugu zako wako inje, wanakutafuta.”