17 Yakobo na ndugu yake Yoane, wote wawili walikuwa wana wa Zebedayo (Yesu aliwapa jina la Boanerge, maana yake ngurumo ya radi),