17 Siku hiyo ilikuwa ya kumi na tatu ya mwezi wa Adari. Siku iliyofuata ya kumi na ine, wakapumzika, wakaifanya kuwa siku ya karamu na sherehe.