Online Bible

- Advertisements -




Esteri 7:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

2 Katika siku ya pili, walipokuwa wanakunywa divai, mufalme akamwuliza tena Esteri: “Sasa, malkia Esteri, unataka nini? Uniambie, nawe utapata. Ombi lako ni nini? Hata kama ni nusu ya ufalme wangu, utapewa.”

See the chapter Copy




Esteri 7:2

Follow us:

Advertisements


Advertisements