Online Bible

- Advertisements -




Esteri 3:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

2 Mufalme akaamuru wakubwa wote wa serikali yake wamutii Hamani kwa kuinama na kupiga magoti mbele yake. Lakini Mordekayi hakuinama wala kupiga magoti mbele yake.

See the chapter Copy




Esteri 3:2

Follow us:

Advertisements


Advertisements