Online Bible

- Advertisements -




Danieli 7:20 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

20 Vilevile nilitaka nielezwe juu ya zile pembe kumi alizokuwa nazo juu ya kichwa chake, na ile pembe moja iliyoota na pembe zingine tatu zilizoanguka mbele yake, ndiyo ile pembe iliyokuwa na macho na kinywa ambacho kilisema maneno ya kujivuna, na ambayo ilionekana kuwa kubwa kuliko pembe zingine.

See the chapter Copy




Danieli 7:20

Follow us:

Advertisements


Advertisements