Online Bible

- Advertisements -




Danieli 10:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

7 Mimi Danieli peke yangu niliona maono hayo. Wale watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona, lakini walishikwa na hofu sana, wakakimbia, wakajificha.

See the chapter Copy




Danieli 10:7

Follow us:

Advertisements


Advertisements