Biblia Todo Logo
Διαδικτυακή Βίβλος

- Διαφημίσεις -




Yoshua 7:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

14 Kwa hiyo kesho asubui wote mutakuja mbele yangu, kabila kwa kabila. Kabila nitakalolichagua litakwenda mbele, ukoo kwa ukoo. Ukoo nitakaouchagua utakwenda mbele, jamaa kwa jamaa. Na jamaa nitakayoichagua itakwenda mbele, mutu mumoja mumoja.

Δείτε το κεφάλαιο αντίγραφο




Yoshua 7:14
6 Σταυροειδείς Αναφορές  

Kura inapigwa kwa kujua yatakayotukia, lakini uamuzi ni wa Yawe.


Kisha wale watumishi wa mashua wakasemezana: Tupige kura tupate kujua hasara hii imetupata kwa ajili ya kosa la nani. Basi, wakapiga kura; kura ikamwangukia Yona.


Ακολουθησε μας:

Διαφημίσεις


Διαφημίσεις